Nakaza Mwendo

Nafurahia mateso yangu
Nafurahia mateso yangu
Ujapo haribika mwili huu,
'Tapata mwingine kwa baba
Ujapo haribika mwili huu,
'Tapata mwingine kwa baba
Nakaza mwendo nifike mbinguni,
Nayakabidhi maisha kwa bwana,
Nikauone uzuri wa bwana
Nakaza mwendo nifike mbinguni,
Nayakabidhi maisha kwa bwana,
Nikauone uzuri wa bwana
Nikauone uzuri wa bwana,
Tabu na matatizo hakuna,
Kiu wala njaa hakuna
Tabu na matatizo hakuna,
Kiu wala njaa hakuna
Kabisa aah!

Lakini mji ule taa yake,
Ni mwana kondoo,
Milele mji ule hauhitaji,
Jua wala mwezi
Lakini mji ule taa yake,
Ni mwana kondoo,
Milele mji ule hauhitaji,
Jua wala mwezi,
Najua kwishi kwangu ni Kristo,
Kufa ni faida.
Nakaza mwendo nifike mbinguni,
Nayakabidhi maisha kwa bwana,
Nikauone uzuri wa bwana
Nakaza mwendo nifike mbinguni,
Nayakabidhi maisha kwa bwana,
Nikauone uzuri wa bwana
Tabu na matatizo hakuna,
Kiu wala njaa hakuna
Tabu na matatizo hakuna,
Kiu wala njaa hakuna
Kabisa aah!
Lakini waongo na wazinzi,
Hawataingia,
Wanaowaabudu sanamu,
Hawataingia,
Lakini waongo na wazinzi,
Hawataingia,
Wanaowaabudu sanamu,
Hawataingia,
Najua kwishi kwangu ni Kristo,
Kufa ni faida.
Nakaza mwendo nifike mbinguni,
Nayakabidhi maisha kwa bwana,
Nikauone uzuri wa bwana
Nakaza mwendo nifike mbinguni,
Nayakabidhi maisha kwa bwana,
Nikauone uzuri wa bwana
Tabu na matatizo hakuna,
Kiu wala njaa hakuna
Tabu na matatizo hakuna,
Kiu wala njaa hakuna
Kabisa aah!
Nakaza mwendo nifike mbinguni,
Nayakabidhi maisha kwa bwana,
Nikauone uzuri wa bwana
Nakaza mwendo nifike mbinguni,
Nayakabidhi maisha kwa bwana,
Nikauone uzuri wa bwana
Tabu na matatizo hakuna,
Kiu wala njaa hakuna
Tabu na matatizo hakuna,
Kiu wala njaa hakuna
Kabisa aah!



Credits
Writer(s): Maureen Nkirote
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link