Mwambieni Mungu

Mwambieni Mungu
Matendo yako yatisha
Matendo yako yatisha
Yatisha kama nini

Njooni myatazame
Matendo makuu ya mungu
Atisha kwa mambo
Awafanyaayo wanadamu

Akikomesha vita
Hata mwisho wa dunia
Avunja maagano
Ya miungu wabaya

Avunjavunja uta
Kwa maadui wabaya
Alivyojisifia
Atukuzwe mbiguni

Na hapa ndipo
Ninapomfurahia mungu
Atatawala kwa uwezo wake milele

Nitakuimbia wewe
Nitakuinua wewe
Nitakuhimidi wewe
Nitakushukuru wewe
Mungu wa rehema
Nitakuinua wewe
Nitakuhimidi wewe
Nitakushukuru wewe

Nitakuinua
Eeh mungu we
Nitalihimidi jina lako
Eeh mungu we
Nitakushukuru
Eeh mungu we
Mataifa washangilie
Eeh mungu we
Nitakuinua wewe
Eeh mungu we
Nitalihimidi jina lako
Eeh mungu we
Nitakusifia
Eeh mungu we
Mataifa washangilie
Eeh mungu we

Uinuliwe mungu wetu
Uhimidiwe mungu wetu
Ushukuliwe mungu wetu
Baba wa rehema



Credits
Writer(s): Maureen Nkirote
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link