Yeye

Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye
Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye

The way that you move unanitesa vibaya
Kizunguzungu ndege umenikata bawa
Nachoka kabisaah kwa unavyovifanya wow wow ooh
Chochote usemacho mwenzako me sawa (me sawaah)
Kitugani wewe nikupeeh mudawote unikumbukeeeh
Siokesho unitupeeh kwa haibu nijifiiche
Uwo uzuli wako baby wewe fire
Ukiniachanitadata nitakuwa vibaya huh huh!

Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye
Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye

Wamepita wengi sikatai
Mama umenikoleza unavyonipa sikinai yeh! yeh!
Nilipo upo nafurahi wewe ndiyo unanipendeza
Wengine wote hawanifai yeyeh
Me nadhani
Kifo ndiyo kitatutenganisha nawe
Usiniadhibu mama taratibu mama yeh yeh
Uwo uzuli wako baby wewe fire
Ukiniachanitadata nitakuwa vibaya aah aah

Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye
Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye



Credits
Writer(s): Juma Mkambala
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link