Tell Me (feat. Joh Makini)

Yeah (okei)
Shorii let me talk to you
(S2kizz bebii)

Nisipokula nawe huu mkwanja
Santakula nanani sinaga huo ujanja kwako
Mijengo sio tena kibanda
Awali side chicks walishasanda kwako

Kula ndizi bila maganda
Muhanga mi nishajitoa kitambo si kazi kwako
Kwamungu na sikwa mganga
Njo tupige goti baraka zimetanda hapo

Nisipokupenda wewe ntampenda nani mmh
Leo kazi sina nina kazi nyumbani eeeh eeh
Nitapika ule wangu mwandani mmh
Mmh na ndoto yangu uyatoe ya ndani mama ooh aah

Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh bebe
Lushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah
Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh bebe
Lushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah

Tell me something
Tell me something
Tell me something
Tell me something baiby

Naacha mambo yote mana najisikia mfalme mjini
Unanipa vitu vingi ata sijui nikupe nini
Tunamali tuna mungu na pia tunania
Tunaishi ndoto zetu wakitushuhudia
Naunanifaa moyoni umenikaa kama nini?
Pale najikwaa maa huniachi niende chini ooh aah

Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh bebe
Lushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah
Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh bebe
Lushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah

Tell me something (niambie kitu nambie kitu)
Tell me something (niambie kitu nambie kitu)
Tell me something (niambie kitu nambie kitu)
Tell me something bebii

Twende ...(twende)
Twende ...(twende)
Twende ...(twende)
Twende ...(twende)

Credits
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Juma Mussa Mkambala, John Simon Mseke
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link