Shamra Shamra - Remix

KRISTOFF

Sipendi kukeleelshwa weekend niko kilelesha
Nilikuwa nimeshikwa wochi mashati
Tulikuwa tuko bash hivi mamoshi tukiburn
Mazigi kumbe wochi ametuseti kwa mdosi

Shamra shamra kelele na mapekele za keroro alafu kumejaa moshi
Tukirandaranda huku ndani kwa hii party
Tukipatana na mangeuz kaa forty

Na wako soo noty na wanaitisha noti
Uzuri niko na floor soo siko siwezi kosa
Lipglossy sikosi na vibe ni vitu cosy kwa chuma ya doshi
Shamra shamra kelele tekelekele sherehe hadi tunakuwa fossils
Shamra shamra kwa party hadi kabati ma panty kati ya maparty cups

WYRE

You know they call me lie hot kama lion
Coming straight to the zion
Swagaa ni balaa you never see a boy tied
Every girl I'm do over only need a break

Yooooh

You from the uptown and now you from the ghetto
Sherehe non-stop everyday bila maneno
Yoooh

Them call me remix kila uliza heno sa nino lie to another felo

Haka kadem kazuri jooh kako vero
Kishamsham kinyam kitamtam
Shuka na ngeuz siwezi mind ata kapedo
Dem ni kafupi kanapenda magendo
Ngoma nikali uliza makurutu gang gang
Imebaki shangwe kelele na nderemo
Weeeeh
Shamra shamra kelele na ndaremo
Hayayaya
Shamra shamra kelele na nderemo
Wuuueh

Kishamsham kinyam kitamtam
Rasham kishamsham kelele na nderemoo

Hayayaa
FRASHA

Eyoo buda nimekuwa nimelost tu kwa muda
Bado fresh naishape kama huda
Mabeshte walinitoka Judah
Eeh buda bring that thing
Ikikuja manze mi navuruga
Naicheza tu kibazu tukikuja
Nina lugha we uliza ata buga
Eeeh wee bugaa
GABU
Kinipata niko gage
We jua nishajiarrange

Nishatoka benzima sikuhizi nipate kwa rave
Vaccine nishaget corona kwangu ni beer
Tunapigwa lock down cheki wanatuibia
Fanya faster juu wify ataingia
Lamba kitu hapa si ushaikamia
Acha maringo najua wee sio vajo
Kama upendagi kwa bed mi napendaga kwa choo

Haka kadem kazuri jooh kako vero
Kishamsham kinyam kitamtam
Shuka na ngeuz siwezi mind ata kapedo
Dem ni kafupi kanapenda magendo
Ngoma nikali uliza makurutu gang gang
Imebaki shangwe kelele na nderemo
Weeeeh
Shamra shamra kelele na ndaremo
Hayayaya
Shamra shamra kelele na nderemo
Wuuueh

Kishamsham kinyam kitamtam rasham kishamsham kelele na nderemoo

Hayayaa

NAIBOI

Soo babey come froli toto relax
Cheza na kashisha ice ndani ya glass
Kitu ya kwanza marinate boy child anaclass
Usiache kwenye kiti angalau ebu order Vodacom
Excuse me miss don't be kidding me
I see want you carrying are you serving it

Eeeish

Napemda iyo smile and your attitude
And when I piki you is a w you

Mapesa narusha kwa simu simu simu simu boyfriend of the year
Kitanda ni chiki chiki chiki chiki chiki girlfriend of the year

Haka kadem kazuri jooh kako vero
Kishamsham kinyam kitamtam
Shuka na ngeuz siwezi mind ata kapedo
Dem ni kafupi kanapenda magendo
Ngoma nikali uliza makurutu gang gang
Imebaki shangwe kelele na nderemo
Weeeeh
Shamra shamra kelele na ndaremo
Hayayaya
Shamra shamra kelele na nderemo
Wuuueh

Kishamsham kinyam kitamtam rasham kishamsham kelele na nderemoo

Hayayaa



Credits
Writer(s): Mike Makori, Moses Otieno, Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link