Epuka Miiba

Yule mwanamke ni kama ua
Lililo ota katikati ya miiba
Naambiwa miiba ameipanda hivi
Karibuni baada ya kuona
Anachezewa
Wanaume waliokuwa Wakimchezea wakikutana
Naye wanakata shingo
Wanadai ni bora ya nusu shari
Kuliko shari iliyokamili yooh

Epuka miiba isije ikakuchoma
Epuka miiba isije ikakuchoma
Umheshimu mkeo ni kama
Mama yako
Epuka miiba isije ikakuchoma
Epuka miiba isije ikakuchoma
Hata dada yako mdogo
Ni kama mama yako
Epuka miiba isije ikakuchoma
Epuka miiba isije ikakuchoma
Tuwaheshimu wanawake
Wote eh yeyeyeh
Epuka miiba isije ikakuchoma
Epuka miiba isije ikakuchoma

Wanawake lazima tuwape Heshima nani apatapo
Shida hamlilii mama
Mwanamke mmoja akiwezeshwa
Ni sawa na kuliwezesha Taifa
Tusiogope kuwapa madaraka
Wana uwezo pia ni waadilifu
Wanaweza kuwa sawa na
Wanaume na pengine
Kufanya vizuri zaidi yoyoh

Epuka miiba isije ikakuchoma
Epuka miiba isije ikakuchoma
Umheshimu mkeo ni kama
Mama yako
Epuka miiba isije ikakuchoma
Epuka miiba isije ikakuchoma
Hata dada yako mdogo
Ni kama mama yako
Epuka miiba isije ikakuchoma
Epuka miiba isije ikakuchoma
Tuwaheshimu wanawake
Wote eh yeyeyeh
Epuka miiba isije ikakuchoma
Epuka miiba isije ikakuchoma

Kenya mko wapi
Uganda mko wapi
Afrika nzima kina
Mama wote hoye yei yeh



Credits
Writer(s): Job Ndile
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link