Poa (feat. Joefes)

MBONA POA BY BLACK QUEEN FT JOEFES

Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)

Hata ukiniona loco mi sijali
Kitu najali ni kuchill na washkaji
Tunakula ganja tunagonga na manyagi
Wewe si Mungu endelea Kunijaji
Kunawatu unajua wanaboa
Unampa ngoma mambo ye anachukulia poa
Nikipita na mabling wanaanza kukohoa
Nikiwapa hi hawataki kama wanasubiri ndoa
Mbona poa ata ukiniona kwa soko
Sipigi luku na ado napiga maphoto
Sinaga pesa nabado naagiza keroro
Nashtua ubongo mana sipendagi makero

Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)

Bila dready bado mtaa nimelock
Ka halls za lecture
Nimekuja ku collect hizo blood bila pressure
Sit down skiza, kick na bassline

Chunga line uki cross ni deadline
News aligenya, few walipenya
Ju few si iliscrew wakablow ka ndeng'a
Johnny ako mtaa ameleta form ako gwethe
Yeah, we back seat more leta mzinga mbwegze
Tumalo tuende
Mbogi imezima kila mtu na unenge
Walikula crate nzima
Nimekuja ku collect hizo blood bila pressure

Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)

Credits
Writer(s): Jackline Julius Nyamraba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link