Huyu Jamaa

HUYU JAMAA

Huyu jamaa, Huyu jamaa

Huyu jamaa ninmaarufu sana
Duniani kote anajulikana
Yes anapendwa na wasichana
Hana miguu lakini anasimama
Huyu jamaa ni jemedari
Anasimama wima kama askari
Eeh anapenda sukari
Mwili mdogo lakini hi hatari
Huyu jamaa bana anawashkaji zake
Wako wawili na ndio ndugu zake
Akiwa juu wanakuwaa chini yake
Nakama hana kazi basi analala zake
Huju jamaa haonekani mbele za watu
Anakaa mafichoni kama li chatu
Nahape dagi viatu
Mara nyingi ye utamkuta peku

Huyu jamaa, Huyu jamaa

Jamaa habongi
Anapita kwenye mlango na hagongi
Jamaa havungi
Anafujo sana akiwa tungi
Ila jamaa ni very smart
Haonekani ovyo ovyo
Mpaka awe na appetite kweli jamaa ni kamzozo
Jamaa kiukweli anazingua ikifika asubui analilia kitumbua
Jamaa anasumbua anajiona mtoto wakati ameshakua

Huyu jamaa, Huyu jamaa



Credits
Writer(s): Jackline Julius Nyamraba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link