Utanibamba (feat. Team Veterans)

BLACK QUEEN FT VETERANS- UTANIBAMBA

Digi mdem, naskia we ndio queen
Yes ndo mimi bro unataka nini
Dakika kama mbwegze si uchan tu na mimi
Ok usipoteze time jua mambo mengi mjini
Zaski mdem design we ni mrembo
Kam hizi sides na tuende ghetto

Mana hauna luku hauna do utanibamba, (ntakubamba)
We so mbaba sio mbaba sio bishoo utanibamba(utanibamba)

YOOH hauko fresh ukisex huna test
Unaonekana uko tired unastress
Nikitaka wigi ninajua huto make it
So please baby boy please don't stress me

Cheki nimekudigi mpasu umenimada
Nikitry kukulink wire unakata
Vako za ki kiki manyuti kitaka
Unapenda joh kupost hiyo ass ina kiraka
Waai acha usumbufu
Kwanza hauna luku
Hamna kitu umebeba chini zaidi yamambupu
Ukinidigi niko physically fit
Natesa joh wamama mavitu zile big
Si huzip shhhhhh

Mana hauna luku hauna do utanibamba,(ntakubamba)
We so mbaba sio mbaba sio bishoo utanibamba(utanibamba)

Mtoto umelee bila maziwa huweziliwa
Unadai joh wababa huoni vile mnauliwa
Bado sanifiwa ndani uko indoors
Leo kwa V8 kesho uko kwa range
Na nyi maboy mnafaa msake doh

Bila maziwa hiyo panty huwezidrop
Upige liku na ujuwe kuperform
Ukimblein unatoka kwenye form

Mana hauna luku hauna do utanibamba,(ntakubamba)
We so mbaba sio mbaba sio bishoo utanibamba(utanibamba)
Ntakubamba



Credits
Writer(s): Jackline Julius Nyamraba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link