Kichwa Kimejaa

KICHWA KIMEJAA

Kichwa kimejaa,Kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe
Kichwa kimejaa, shida, madeni tele
Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe
Kichwa kimejaa, shida, madeni tele
Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa

Kichwa kimejaa mastress maujinga mpaka nawaza nitapona lini
Nishatumiaga maganja mashada ma jaba lakini akiponi kwanini
Nilienda kwa dokta nilichoambulia ni sindano panado madawa kwinini
Ata nikitry ile kumeditate ndo kwanza mawazo yanajipiga pini
Kichwa inawaza mapenzi kutrendi weekend na bado sijalipa madeni
Inawaza marafiki mawaki masnichi na bado inadai niendelee kuspend
Hakuna ata space imebaki,eeh
Ata kwa mfuko sina 30, eeh
Rafiki nae kunitumia ataki
Kichwa bado inadai niendelee kuparty

Kichwa kimejaa,Kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe
Kichwa kimejaa, shida, madeni tele
Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe
Kichwa kimejaa, shida, madeni tele
Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa

Sasa mwenye nyumba kanvuruga akili kashanitia stress kumkwepa siwezi
Apo na bebe kashaniwakia mida ya saa 9 anataka mapenzi
Kunakiwanja nilinunua laki huu mwaka wa 6 sijaanza ujenzi
Kila nakopita mi nadaiwa ooh my God this is cryz
Mbona kila mechi nacheza fresh lakini maisha yameniweka benchi
Hali niliyonayo kwa sasa hivi ni sawa na mchaga anasahau chenchi
Hakuna ata space imebaki,eeh
Ata kwa mfuko sina 30, eeh
Rafiki nae kunitumia ataki
Kichwa bado inadai niendelee kuparty

Kichwa kimejaa,Kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe
Kichwa kimejaa, shida, madeni tele
Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe
Kichwa kimejaa, shida, madeni tele
Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa
Kichwa kimejaa



Credits
Writer(s): Jackline Julius Nyamraba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link