Tekenya

TEKENYA

Msiulize why nampenda sana
Kuna kitu nampa inamtekenya
Msiulize why ananipenda sana'
Kuna kitu nampa inamtekenya
Ina ina (inamtekenya)
Ina ina (inamtekenya)

Ah nishike kwa hapa kwa pale kwa hapa
Kila nikikuona nahisi tuninawashwa
Kudadake kama ni mtego nimenaswa
Aki sio utani nikoreal ninaapa
Unawekaga ninimbona tam ka ndimu
Tukimalizaga ndo zinanipastimu
Nikitry nikuache nahisi napata wazimu
Aki we ndio una unanifanya mi leo napenda gym
Kila place yenye utaenda ntakufata
Kuna kitu wewe ukonayo mi nataka
Inayonifanya everytime nina data
Bond kali kama vilelitenga na kata

Ina ina (inamtekenya)
Ina ina (inamtekenya)

Najua huna ndinga huna dollar
Nakama ni tatoo nitakuchoraa
Minataka tango dio dollar
Nikikukosa nitaugua baipollar
Tupige za chuga yechu yechu
Nakesho nikutambulishe kwetu
Usherati ulinizidi we hujui tu
Na leo nimeokoka nimeokoka nampokea bwana Yesu
Kila place yenye utaenda ntakufata
Kuna kitu wewe ukonayo mi nataka
Inayonifanya everytime nina data
Bond kali kama vilelitenga na kata

Msiulize why nampenda sana
Kuna kitu nampa inamtekenya
Msiulize why ananipenda sana'
Kuna kitu nampa inamtekenya
Ina ina (inamtekenya)
Ina ina (inamtekenya)



Credits
Writer(s): Jackline Julius Nyamraba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link